Friday, May 15, 2015

HUDUMA ZETU ZINAZO PATIKANA

katika saloon yetu tunatoa huduma zifuatazo kama vile kupamba maharusi ,kuchora  piko ,kupa hina ,kukodisha nguo za harusi na mengine mengi zinpatikana katika saloon yetu  nzuri ,na huduma zetu pia nzuri ,unaweza kupata huduma nyengine lakini kwa anae hitaji kama chai ,chajio ,cha usikuu kama umekuja wakati muafaka wa nyakati hizo za mlo .
                                                               KARIBUNI SANA

KUPAKA HINA

Dressig saloon  tunapaka hina na kuchora piko zenye kuvutia nakukuweka katika hali ya kupendeza.
Fika hapa ili uweze kupendeza .na huduma  zetu bei nafuu sana
         KARIBUNI NYOTE MNAKARIBISHWA.



Thursday, May 14, 2015

KUKODISHA NGUO ZA AKDI

Vile vile tunakodisha nguo za maharusi za aina mbali mbali na bei  zetu ni nafuu .tupo wazi kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 2:00 za usiku kwa huduma bora na mzuri zaid karibu dressing saloon  utafurahi wewe mwenye we unaweza kuja na mwenza wako wa karibu.
YOU ARE WELCOME






KUCHORA PIKO