Friday, May 15, 2015

HUDUMA ZETU ZINAZO PATIKANA

katika saloon yetu tunatoa huduma zifuatazo kama vile kupamba maharusi ,kuchora  piko ,kupa hina ,kukodisha nguo za harusi na mengine mengi zinpatikana katika saloon yetu  nzuri ,na huduma zetu pia nzuri ,unaweza kupata huduma nyengine lakini kwa anae hitaji kama chai ,chajio ,cha usikuu kama umekuja wakati muafaka wa nyakati hizo za mlo .
                                                               KARIBUNI SANA

No comments:

Post a Comment