katika saloon yetu tunatoa huduma zifuatazo kama vile kupamba maharusi ,kuchora piko ,kupa hina ,kukodisha nguo za harusi na mengine mengi zinpatikana katika saloon yetu nzuri ,na huduma zetu pia nzuri ,unaweza kupata huduma nyengine lakini kwa anae hitaji kama chai ,chajio ,cha usikuu kama umekuja wakati muafaka wa nyakati hizo za mlo .
KARIBUNI SANA
Friday, May 15, 2015
KUPAKA HINA
Dressig saloon tunapaka hina na kuchora piko zenye kuvutia nakukuweka katika hali ya kupendeza.
Fika hapa ili uweze kupendeza .na huduma zetu bei nafuu sana
KARIBUNI NYOTE MNAKARIBISHWA.
Fika hapa ili uweze kupendeza .na huduma zetu bei nafuu sana
KARIBUNI NYOTE MNAKARIBISHWA.
Thursday, May 14, 2015
KUKODISHA NGUO ZA AKDI
Vile vile tunakodisha nguo za maharusi za aina mbali mbali na bei zetu ni nafuu .tupo wazi kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 2:00 za usiku kwa huduma bora na mzuri zaid karibu dressing saloon utafurahi wewe mwenye we unaweza kuja na mwenza wako wa karibu.
YOU ARE WELCOME
YOU ARE WELCOME
Subscribe to:
Comments (Atom)




